Habari
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) akitembelea Mabanda ya Taasisi zilizochini ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) akitembelea Mabanda ya Taasisi zilizochini ya Wizara ya Viwanda na Biashara kabla ya Ufunguzi rasmi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) katika Viwanja vya Mwl.Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Maonesho hayo yanatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi Julai 07,2025.