Habari
Uzinduzi wa Kiwanda Cha kuchakata Pamba Cha Biosustain kilichopo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi la uzinduzi wa Kiwanda Cha kuchakata Pamba Cha Biosustain kilichopo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu wakati wa ziara ya kikazi leo Juni 17,2025.