Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri aikitembelea mabanda mbalimbali katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (wa pili kutoka kulia) akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Dkt. Said Seif Mzee (wa kwanza kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera (wa tatu kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Bi. Latifa M. Khamis wakati wakipita kwenye mabanda ya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2025 (Sabasaba) Julai 2, 2025.