Habari
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo akikabidhiwa baadhi ya vipeperushi vya benki ya Azania
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo akikabidhiwa baadhi ya vipeperushi vya benki ya Azania
na Meneja wa huduma kwa wateja, Bi. Caroline Mugendi wakati alipotembelea banda hilo kwenye viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Julai 2, 2025 Jijini Dar es Salaam.