Habari
Wadau wakutana kuandaa andiko la mradi wa SECO

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na huduma za mradi (UNOPS) kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (MITI) leo tarehe 24 Septemba, 2018 yafungua warsha ya kuandaa mradi wa kuunganisha wakulima na wasindikaji wa mbogamboga, matunda na sekta ya utalii katika hoteli ya Nashera, Mkoani Morogoro.