Habari
Wataalam kutoka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara (Bara), Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda (Zanzibar), Wizara na Taasisi za Umma na Binafsi -Bara na Zanzibar wakijadiliana kuhusu Makati wa Biashara Mtandao

Wataalam kutoka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara (Bara), Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda (Zanzibar), Wizara na Taasisi za Umma na Binafsi -Bara na Zanzibar wakijadiliana kuhusu Makati wa Biashara Mtandao, Juni 5 - 14, 2023
Mkakati wa Biashara Mtandao unaoandaliwa unalenga kukidhi mahitaji na mabadiliko ya teknolojia na uchumi wa dunia ili kuweza kunufaika na fursa zitokanazo na maendeleo hayo hususani Biashara ya Kimtandao (e-commerce).