Habari
Waziri akutana na Mmiliki wa Kiwanda cha Chumvi - Uvinza

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mwendeshaji Bwana Mukeshi Mamlani wa Nyanya Mining Limited ya Uvinza Kigoma inayojishughulisha na uzalishaji chumvi katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa lengo la kusikiliza changamoto katika sekta hiyo na kuona namna ya kuzitatua