Habari
Waziri kijaji: Kiwanda cha kutengeneza magurudumu cha Arusha ( General Tyre )

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) akitembelea Kiwanda cha kutengeneza magurudumu cha Arusha ( General Tyre ) Mei 29, 2022 kuangalia mikakati iliyopo ya kufufua kiwanda hicho ili kiweze kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa.