Habari
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akitembelea mabanda ya (AfCFTA)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akitembelea mabanda ya maonesho kabla ya ufunguzi Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini ya Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) Desemba 06, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam