Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ameshiriki uzinduzi wa Ofisi ya Kampuni ya Silent Ocean katika Mji wa Foshani jijini Guangzhou nchini China.


Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ameshiriki uzinduzi wa Ofisi ya Kampuni ya Silent Ocean katika Mji wa Foshani jijini Guangzhou nchini China. Ufunguzi rasmi ulifanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. 
Ufunguzi wa Ofisi hiyo umefanyika tarehe 28 Juni, 2023.