Habari
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), Julai 1, 2023 ametembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya tatu baina ya China na Afrika

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), Julai 1, 2023 ametembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya tatu baina ya China na Afrika ambayo yalianza tarehe 29 Juni, 2023. Maonesho hayo yanafanyika jijini Changsha, China.