Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Wimbo wa Afrika Mashariki wakati wa Mkutano wa SCTIFI 43 ngazi ya Mawaziri wa EAC


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (wapili kutoka kulia) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (wapili kutoka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Stephen Mbundi (wakwanza kutoka kulia) wakiimba wimbo wa Afrika Mashariki  wakati wa wakishiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC na Sudani Kusini kilichofanyika jijini Arusha tarehe 09 Februari 2024.