Habari
Ziara ya kukagua kazi zinazofanywa na taasisi za BRELLA ,SIDO,TBS na WMA Mkoani Mara.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Exaud Kigahe (Mb) wa nne kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Kanali Evans Mtambi (wa tano kushoto), Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara (watatu kushoto), Bw. Gerald Kusaya na watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara, watumishi wa Taasisi za BRELA, SIDO, TBS, WMA, na watumishi wa ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Mara Februari 25, 2025 mkoani Mara.