Habari
Ziara ya Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Ziara ya Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Mhe. Naibu Waziri afanya ziara katika mikoa ya Morogoro, Tanga, Kilimanjaro na Arusha ambapo lengo likiwa ni kuona uzalishaji wa Viwanda hivyo na kusikiliza changamoto za wenye Viwanda na kuzifanyia kazi. Aidha Mhe. Naibu waziri anakagua Viwanda vilivyobinafsishwa katika maeneo husika ili kuona utendaji wake na kutoa maagizo ya kuanza uzalishaji mara moja.