Ujenzi unaoendelea katika Kongani ya Viwanda Kwala iliyopo Mkoa wa Pwani inayotarajiwa kuwa na viwanda vikubwa 200 vitakavyotengeneza nguo,vifaa vya umeme,ujenzi dawa na inatajiwa kutoa ajira za moja kwa moja 100,000 na zisizo za moja kwa moja na 300,000