Habari

- Jul 03, 2021
SERIKALI ITAONGEZA NGUVU KATIKA UZALISHAJI ILI KUKABILI CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA MALIGHAFI ZA VIWANDA NCHINI.
Soma zaidi
- Jun 28, 2021
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (MB) ameitaka FCC kuweka mazingira bora ya udhibiti wa ushindani wa biashara nchini
Soma zaidi
- Jun 28, 2021
Waziri wa Viwanda na Biashara ajadili faida za Mkataba wa AfCFTA na Katibu Mkuu Mtendaji wa Sekretarieti ya AfCFTA
Soma zaidi
- Jun 28, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mgeni rasmi katika maonesho ya 45 ya sabasaba mwaka 2021.
Soma zaidi
- Jun 24, 2021
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeagiza Wakala wa Vipimo (WMA) na Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kuendelea kubores...
Soma zaidi
- Jun 19, 2021
Waziri wa Viwanda na Biashara awataka wanachama wa CTI kujadili Maendeleo ya Viwanda nchini
Soma zaidi


- Jun 17, 2021
Wadau wa Sekta Binafsi wajadili Mwelekeo wa Sera ya Maendeleo ya Viwanda vidogo na Biashara ndogo
Soma zaidi

- Jun 10, 2021
Kamati ya Kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira yaipongeza BRELA kwa kuboresha utendaji kazi.
Soma zaidi

- May 31, 2021
TANZANIA NA KENYA ZAKUBALIANA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU
Soma zaidi
- May 31, 2021
Dkt. Hashil T. Abdallah afungua mkutano Mkuu wa mafundi Cherehani Mkoa wa Dodoma ( UMACHEDO).
Soma zaidi
- May 26, 2021
PROF. MKUMBO : TUTUMIE VIFAA VINAVYOZALISHWA NA VIWANDA VYA NDANI KWENYE UJENZI WA MIRADI HAPA NCHINI
Soma zaidi
- May 22, 2021
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amewasilisha bungeni makadirio ya bajeti ya Wizara mwaka wa fedha 2021/22
Soma zaidi
- May 03, 2021
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya kikao na wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji wa mizigo bandarini.
Soma zaidi
- Apr 24, 2021
Naibu waziri Mhe. Exaud Kigahe (Mb) afanya ziara kiwanda cha kuchakata pareto Mkoani Iringa.
Soma zaidi
- Apr 21, 2021
Waziri Prof. Kitila Mkumbo amekagua ukarabati wa Ofisi mpya za Wakala wa Usajili wa biashara na leseni (BRELA) unaotekelezwa na Construction Ltd
Soma zaidi
- Apr 21, 2021
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo akiongea na menejimenti, uongozi na wafanyakazi wa Taasisi ya Wakala wa Usajili wa biashara na leseni (BRELA)
Soma zaidi