Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) na Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) ina teknolojia ya kuchakata migomba
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb), ametoa wito kwa wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhakikisha wanazalisha tafiti zinazouzika na...