WADAU wa usafirishaji wa bidhaa kwenda nchi jirani kupitia Bandari ya Dar es Salaam, wamekutana kujadili changamoto na fursa katika biashara ya kikanda,
Wafanyabiashara nchini kuchangamkia masoko ya kimataifa
TANZANIA NA MALAWI ZASAINI TAMKO LA PAMOKA LA KIBIASHARA; BIASHARA KUENDELEA KAMA ILIVYOKUWA AWALI
Makubaliano ya kuendelea na biashara kuanzia tarehe 02 Mei, 2025.
Tanzania na Malawi zimekubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara na kuendelea kushirikiana Kibiashara.
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa kwa mwaka 2025 yamefanyika Mei 1, 2025 mkoani Singida
Uzinduzi wa Sera ya Biashara ya 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025
Ujumbe wa Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Sultan ya Oman
Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Uvuvi na Maji wa Serikali ya Oman
Ujumbe wa Tanzania amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Oman
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amekutana na ujumbe kutoka China
BRELA yapongezwa kwa Matumizi ya Mifumo ya Kidigitali Iliyoboreshwa
FCC ONGEZENI NGUVU KATIKA KUDHIBITI BIDHAA BANDIA NA KUMLINDA MLAJI
TANZANIA YANG'ARA UZINDUZI WA WIKI YA PROGRAMU YA UTALII, EXPO 2025 OSAKA.
SEKTA YA BIASHARA YA UTALII KIVUTIO EXPO OSAKA 2025
Baraza la Ushindani (FCT) kuhakikisha kuwa linaendelea kufanya kazi kwa weledi,
Dkt Jafo : Zalisheni Mafuta ya kula kwa wingi kukidhi mahitaji
KAMATI KUU YA KITAIFA YA DITF YAKETI KUELEKEA MAONESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (SABASABA)
Dkt.Jafo ataka watanzania kununua mabati yanayozalishwa nchini