Wito watolewa kwa wazalishaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kuzingatia ubora ili ziweze kushindana katika soko.
Serikali Nchini kuhakikisha wanajenga mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya Nchi
Waziri Jafo akabidhi Magari matano kwa Wakala wa Vipimo
Ujumbe kutoka Serikali ya China Idara ya Biashara yaja na fursa Tanzania
JICA yapongezwa kwa ushirikiano na uhamasishaji ukuaji wa Viwanda nchini*
Tanzania na Uingereza kuwezesha wafanyabiasha baina ya nchi hizo kushirikiana
Dkt.Jafo - Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji Biashara.
Wana Njombe changamkieni fursa za miradi ya viwanda vinavyoanzishwa
ziara ya kukagua, kusikiliza changamoto na kushauriana namna ya kuzitatua Februari 19, 2025 mkoani Singida.
Mradi wa uchimbaji chuma Liganga kuanza hivi karibuni.
(NDC) kukamilisha majadiliano na Mwekezaji wa Mradi wa Makaa ya Mawe Ketawaka
Wito kwa wanawake kushiriki kwenye mpango wa kuwezesha wanawake kunufaika na Soko Huru la Afrika
Mikataba na wawekezaji wa Mradi wa ECT Cargo unaojihusisha na usafirishaji na Uhifadhi
wananchi 436 kati ya 595 tayari wamelipwa fidia kwa ajili ya kupisha utekelezaji wa Mradi wa Magadi Soda ya Engaruka uliopo wilayani Monduli mkoani Arusha.
Uchumi wa Buluu uwe ni fursa ya kuendeleza biashara na kuwanufaisha wananchi walio wengi.
Serikali yaahidi kutatua tozo ya makontena
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) kukamilisha zoezi la mchakato wa kupata chapa ya ‘ MADE IN TANZANIA
CBE yatakiwa kutoa Elimu inayokidhi mahitaji ya Soko la ndani na kimataifa
TAARIFA KWA UMMA
Ziara ya Kati ya kudumu ya Bunge kujifunza utekelezaji wa shughuli za Kiwanda cha Lodhia kilichopo Mkuranga (Pwani) Februari 8, 2025