TANTRADE endeleeni kuboresha mazingira ya biashara, uwekezaji, utoaji wa huduma na jitihada za utafutaji wa masoko ya nje kwa ajili ya bidhaa za Tanzania.
Uzalishaji wa sukari nchini umeongezeka hadi kufikia zaidi ya tani 70,000 na kufanya kuwa na zaidi ya tani 160,000 kwenye maghala katika kipindi cha 2022 /2023...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeipongeza Wizara kwa jitihada mbalimbali ilizozifanya katika kutatua changamoto ya upungufu wa s...