Habari

- May 12, 2023
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya...
Soma zaidi
- May 12, 2023
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameshiriki katika Mkutano wa 15 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi.
Soma zaidi
- May 12, 2023
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amewaomba wamiliki wa viwanda kutumia taaluma ya KAIZEN
Soma zaidi
- May 08, 2023
SERIKALI imewahakikishia watanzania kuwa uwekezaji mpya wa zaidi ya dola za Marekani milioni 400
Soma zaidi
- May 04, 2023
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria
Soma zaidi
- May 04, 2023
Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda Mhe. Dk Ashatu Kijaji (Mb.) ameliomba Bunge kupitisha bajeti ya zaidi ya Sh bilioni 119.018 mwaka wa fedha 2023-2024
Soma zaidi
- May 04, 2023
Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) asema ndani ya mwaka mmoja, mifuko na program za uwekezaji wananchi kiuchumi imetoa mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 713.8
Soma zaidi

- Apr 20, 2023
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb,) aitaka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuratibu vyema sekta ya uwekezaji Nchini.
Soma zaidi



- Apr 08, 2023
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah ametembelea Wakala wa Vipimo Kitengo Cha Bandari
Soma zaidi
- Mar 29, 2023
Dkt. Kijaji aitaka TBPL Kibaha kuweka mikakati ya kuitangaza dawa ya kuua viluwiluwi vya mbu.
Soma zaidi
- Mar 29, 2023
Maafisa Mawasiliano na Uhusiano Serikalini waaswa kutangaza mafanikio ya utekelezaji wa MKUMBI
Soma zaidi
- Mar 29, 2023
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah afanya mazungumzo na, Makamu wa rais wa Kampuni ya CocaCola
Soma zaidi
- Mar 28, 2023
.Dkt. Ashatu Kijaji leo tarehe 28 Machi, 2023 amefanya ziara ya Kikazi katika Taasisi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade
Soma zaidi


- Mar 26, 2023
Mhe. Kigahe (Mb) amuhakikishia mwekezaji wa kiwanda cha TROLLE MEES LE TANZANIA IVS LTD soko la uhakika la mafuta ya mawese.
Soma zaidi