Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitiasha Bajeti ya Sh.Bilioni 110.89 ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Dk Kijaji afunga maonyesho ya wiki ya viwanda huku akiwasihi wafanyabiashara nchini kuwa waaminifu na waadilifu wanapouza bidhaa kupitia mtandao.
Wizara ya Viwanda na Biashara yawasilisha Bajeti ya Kiasi cha Sh.Bilioni 110.9 kwa Mwaka wa fedha 2024/2025 ili kutekeleza vipaumbele vikuu sita
Mkutano wa nne (4) wa Kamati ya Kiufundi ya Biashara, Utalii, Viwanda na Madini ya Umoja wa Afrika
Kiliniki ya Biashara kuanza kutolewa soko la Kariakoo
Mfumo wa pamoja wa ukusanyaji tozo kuanzishwa ili kurahisisha ufanyaji biashara
Rais Samia Azindua Kiwanda cha kuunganisha malori
Mradi wa Magadisoda wa Engaruka kulisha viwanda vya vioo nchini
Serikali yawakaribisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia nchini
Dkt Kijaji ateta na DCO kujenga uwezo wa Biashara Mtandao
Tanzania imepiga hatua kuzalisha na kusambaza umeme vijijini
Tanzania na Saudi Arabia zakubaliana kukuza biashara
Dkt. Kijaji ateta na Benki ya Saudi Exim
Serikali kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika.
Kikao kazi cha Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Kijaji na Wakuu wa Idara ya Vwiwanda, Biashara na Uwekezaji Nchini
Wasilisho la Wizara katika kikao kazi cha Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Kijaji na Wakuu wa Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Nchini
Tusifanye kazi kwa mazoea- Dkt. Kijaji
Hongereni CAMARTEC Kwa kuzalisha na kubuni Machine zinazowasaidia wakulima na wafugaji
Tanzania na Oman kuendeleza ushirikiano wakibiashara