Habari





- Jul 13, 2024
Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Taasisi za Biashara kuondoa urasimu Ili kukuza biashara nakujenga uchumi wa nchi.
Soma zaidi



- Jul 09, 2024
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo amewaagiza wakuu wote wa Mikoa Nchini kuhakikisha wanatenga maeneo ya Viwanda kwa kuwa atahakikisha anaha...
Soma zaidi


- Jul 01, 2024
MAONESHO ya 48 ya Biashara ya Kitaifa ya Dar es Salaam maarufu kama sabasaba yanatarajia kutengeneza ajira za muda zipatazo 11,712 huku watembeleaji wakifikia 3...
Soma zaidi
- May 27, 2024
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe afungua mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji na wafanyabiashara wa kampuni 27 kutoka Nchini Ufarans...
Soma zaidi
- May 24, 2024
Mkuu wa Mkoa wa mbeya Mhe. Juma Homera ameipongeza Taasisi ya Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Mbeya
Soma zaidi
- May 22, 2024
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitiasha Bajeti ya Sh.Bilioni 110.89 ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Soma zaidi
- May 22, 2024
Dk Kijaji afunga maonyesho ya wiki ya viwanda huku akiwasihi wafanyabiashara nchini kuwa waaminifu na waadilifu wanapouza bidhaa kupitia mtandao.
Soma zaidi
- May 21, 2024
Wizara ya Viwanda na Biashara yawasilisha Bajeti ya Kiasi cha Sh.Bilioni 110.9 kwa Mwaka wa fedha 2024/2025 ili kutekeleza vipaumbele vikuu sita
Soma zaidi
- May 14, 2024
Mkutano wa nne (4) wa Kamati ya Kiufundi ya Biashara, Utalii, Viwanda na Madini ya Umoja wa Afrika
Soma zaidi

- May 10, 2024
Mfumo wa pamoja wa ukusanyaji tozo kuanzishwa ili kurahisisha ufanyaji biashara
Soma zaidi